Hosea 7:14
Hosea 7:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hawanililii mimi kutoka mioyoni mwao, bali wanaomboleza vitandani mwao. Hukusanyika pamoja kwa ajili ya nafaka na divai mpya, lakini hugeukia mbali nami.
Shirikisha
Soma Hosea 7Hosea 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wananililia, lakini si kwa moyo. Wanagaagaa na kujikatakata vitandani mwao, kusudi nisikilize dua zao za nafaka na divai; lakini wanabaki waasi dhidi yangu.
Shirikisha
Soma Hosea 7Hosea 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala hawakunililia kwa moyo, lakini wanalalamika vitandani mwao; hujikutanisha ili kupata nafaka na divai; huniasi mimi.
Shirikisha
Soma Hosea 7