Hosea 7:11
Hosea 7:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Efraimu ni kama njiwa, mjinga asiye na akili; mara yuko Misri, mara Ashuru kuomba.
Shirikisha
Soma Hosea 7Hosea 7:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Efraimu amekuwa kama njiwa mpumbavu, asiye na fahamu; humwita Misri, huenda Ashuru.
Shirikisha
Soma Hosea 7