Hosea 6:4
Hosea 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nitakutendea nini ee Efraimu? Nikufanyie nini ee Yuda? Upendo wenu kwangu ni kama ukungu wa asubuhi, kama umande unaotoweka upesi.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Efraimu, nikutendee nini? Ee Yuda, nikutendee nini? Kwa maana fadhili zenu ni kama wingu la asubuhi na kama umande utowekao mapema.
Shirikisha
Soma Hosea 6