Hosea 6:1
Hosea 6:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Njoni, tumrudie BWANA; maana yeye amerarua, na yeye atatuponya; yeye amepiga, na yeye atatufunga jeraha zetu.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njooni, tumrudie BWANA; maana yeye amerarua, na yeye atatuponya; yeye amepiga, na yeye atatufunga majeraha yetu.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“ ‘Twendeni, tukamrudie Mwenyezi-Mungu! Yeye mwenyewe ameturarua, lakini yeye mwenyewe atatuponya. Yeye mwenyewe ametujeruhi, lakini yeye mwenyewe atatibu majeraha yetu.
Shirikisha
Soma Hosea 6Hosea 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njooni, tumrudie BWANA; maana yeye amerarua, na yeye atatuponya; yeye amepiga, na yeye atatufunga majeraha yetu.
Shirikisha
Soma Hosea 6