Hosea 5:4
Hosea 5:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Matendo yao hayawaachii kurudi kwa Mungu wao. Roho ya ukahaba iko ndani ya mioyo yao, hawamkubali BWANA.
Shirikisha
Soma Hosea 5Hosea 5:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Matendo yao yanawazuia wasimrudie Mungu wao. Mioyoni mwao wamejaa uzinzi; hawanijui mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Hosea 5Hosea 5:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Matendo yao hayatawaacha kumgeukia Mungu wao; maana roho ya uzinzi imo ndani yao, wala hawamjui BWANA.
Shirikisha
Soma Hosea 5