Hosea 3:4
Hosea 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokuwa: Watakaa kwa muda mrefu bila mfalme au mkuu; bila tambiko, wala mnara wala kizibao cha kifuani wala kinyago.
Shirikisha
Soma Hosea 3Hosea 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana wana wa Israeli watakaa siku nyingi bila mfalme, wala mtu mkuu, wala sadaka, wala nguzo, wala naivera, wala kinyago
Shirikisha
Soma Hosea 3