Hosea 3:3
Hosea 3:3 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kisha nilimwambia, “Utaishi nami kwa siku nyingi, hupaswi kuwa kahaba au kuwa na uhusiano wa karibu na mtu yeyote, nami nitaishi na wewe.”
Shirikisha
Soma Hosea 3Hosea 3:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
nami nilimwambia, Utatawa kwa ajili yangu siku nyingi; hutafanya mambo ya ukahaba, wala hutakuwa mke wa mtu awaye yote; nami nitakuwa hali iyo hiyo kwa ajili yako.
Shirikisha
Soma Hosea 3Hosea 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikamwambia, “Lazima uwe wangu kwa siku nyingi bila kufanya uzinzi au kuwa mke wa mtu mwingine; nami pia nitakuwa mwaminifu.”
Shirikisha
Soma Hosea 3Hosea 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nilimwambia, Utatawa kwa ajili yangu siku nyingi; hutafanya mambo ya ukahaba, wala hutakuwa mke wa mtu awaye yote; nami nitakuwa hali iyo hiyo kwa ajili yako.
Shirikisha
Soma Hosea 3