Hosea 2:21
Hosea 2:21 Biblia Habari Njema (BHN)
“Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema BWANA; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi
Shirikisha
Soma Hosea 2