Hosea 2:18
Hosea 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitafanya agano na wanyama wa porini, ndege wa angani pamoja na vyote vitambaavyo, wasikuumize. Nitatokomeza upinde, upanga na silaha za vita katika nchi, na kukufanya uishi kwa usalama.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Hosea 2