Hosea 2:14
Hosea 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo angalia, mimi nitamshawishi, na kumleta nyikani, na kusema naye maneno ya kumtuliza moyo.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Kwa hiyo sasa nitamshawishi; nitamwongoza hadi jangwani na kuzungumza naye kwa upole.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, nitamshawishi, nitampeleka jangwani na kusema naye kwa upole.
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo angalia, mimi nitamshawishi, na kumleta nyikani, na kusema naye maneno ya kumtuliza moyo.
Shirikisha
Soma Hosea 2