Hosea 14:3
Hosea 14:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ashuru haitatuokoa, hatutategemea tena farasi wa vita. Hatutaviita tena: ‘Mungu wetu’ hivyo vinyago tulivyochonga wenyewe. Kwako ee Mungu yatima hupata huruma.”
Shirikisha
Soma Hosea 14Hosea 14:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ashuru hatatuokoa; hatutapanda farasi; wala hatutaiambia tena kazi ya mikono yetu, Ninyi ndinyi miungu yetu; maana kwako wewe wasio na baba hupata rehema.
Shirikisha
Soma Hosea 14