Hosea 13:16
Hosea 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Samaria wataadhibiwa kwa kosa lao. Kwa sababu wamemwasi Mungu wao. Watauawa kwa upanga, vitoto vyao vitapondwapondwa, na kina mama wajawazito watatumbuliwa.
Shirikisha
Soma Hosea 13Hosea 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Samaria atachukua hatia yake; kwa maana amemwasi Mungu wake; wataanguka kwa upanga; watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande, na wanawake wao wenye mimba watatumbuliwa.
Shirikisha
Soma Hosea 13