Hosea 12:1
Hosea 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Efraimu wananirundikia uongo, na Waisraeli udanganyifu. Watu wa Yuda, wananiasi mimi Mungu Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Hosea 12Hosea 12:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Efraimu hujilisha upepo, na kuandamana na upepo wa mashariki; haachi kuongeza uongo na uharibifu; nao wafanya agano na Ashuru, na mafuta huchukuliwa kwenda Misri.
Shirikisha
Soma Hosea 12