Hosea 11:9
Hosea 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaizuia hasira yangu kali; sitamwangamiza tena Efraimu, maana mimi ni Mungu, wala si binadamu. “Mimi ndimi Mtakatifu miongoni mwenu, nami sitakuja kuwaangamiza.
Shirikisha
Soma Hosea 11Hosea 11:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitamwangamiza Efraimu tena; kwa maana mimi ni Mungu, si mwanadamu mimi; mimi ndiye aliye Mtakatifu katikati yenu; wala sitaingia ndani ya mji.
Shirikisha
Soma Hosea 11