Hosea 11:5
Hosea 11:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, watarudi nchini Misri; watatawaliwa na mfalme wa Ashuru, kwa sababu wamekataa kunirudia.
Shirikisha
Soma Hosea 11Hosea 11:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hatarudi tena nchi ya Misri; bali huyo Mwashuri atakuwa mfalme wake; kwa sababu walikataa kurejea.
Shirikisha
Soma Hosea 11