Hosea 11:12
Hosea 11:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Efraimu wananirundikia uongo, na Waisraeli udanganyifu. Watu wa Yuda, wananiasi mimi Mungu Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Hosea 11Hosea 11:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Efraimu amenizunguka kwa maneno ya uongo, na nyumba ya Israeli kwa udanganyifu; na Yuda hata sasa anasitasita kwa Mungu, na kwake aliye Mtakatifu, naye ni mwaminifu.
Shirikisha
Soma Hosea 11