Hosea 10:3
Hosea 10:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo watasema: “Hatuna tena mfalme, kwa kuwa hatumchi Mwenyezi-Mungu; lakini, naye mfalme atatufanyia nini?”
Shirikisha
Soma Hosea 10Hosea 10:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakini sasa watasema, Hatuna mfalme; kwa maana hatumchi BWANA; na mfalme huyu je! Aweza kututendea nini?
Shirikisha
Soma Hosea 10