Hosea 10:10
Hosea 10:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawajia watu hawa wapotovu na kuwaadhibu; watu wa mataifa watakusanyika kuwashambulia, watakapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zao nyingi.
Shirikisha
Soma Hosea 10Hosea 10:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati nitakapopenda nitawaadhibu; na hao mataifa watakusanyika juu yao, watakapofungwa kwa sababu ya makosa yao mawili.
Shirikisha
Soma Hosea 10