Hosea 1:6
Hosea 1:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akachukua mimba tena, akazaa mtoto mwanamke. BWANA akamwambia, Mwite jina lake Lo-ruhama; kwa maana sitairehemu nyumba ya Israeli tena, nisije nikawasamehe kwa njia yo yote.
Shirikisha
Soma Hosea 1Hosea 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Gomeri alipata mimba tena, akazaa mtoto wa kike. Mwenyezi-Mungu akamwambia Hosea, “Mpe mtoto huyo jina ‘Asiyehurumiwa’, maana sitawahurumia tena Waisraeli wala sitawasamehe.
Shirikisha
Soma Hosea 1Hosea 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akachukua mimba tena, akazaa mtoto wa kike, BWANA akamwambia, Mwite jina lake Lo-ruhama; kwa maana sitairehemu nyumba ya Israeli tena, nisije nikawasamehe kwa njia yoyote.
Shirikisha
Soma Hosea 1