Hosea 1:1
Hosea 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno la Bwana lililomjia Hosea mwana wa Beeri, nyakati za Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda, na Yeroboamu mwana wa Yoashi, mfalme wa Israeli.
Shirikisha
Soma Hosea 1Hosea 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Hosea, mwana wa Beeri, siku za Uzia, na Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; na siku za Yeroboamu, mwana wa Yoashi, mfalme wa Israeli.
Shirikisha
Soma Hosea 1