Waebrania 7:14
Waebrania 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Inafahamika wazi kwamba yeye alizaliwa katika kabila la Yuda ambalo Mose hakulitaja alipokuwa anasema juu ya makuhani.
Shirikisha
Soma Waebrania 7Waebrania 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ni dhahiri kwamba Bwana wetu alitoka katika Yuda, kabila ambalo Musa hakunena neno lolote juu yake katika mambo ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Waebrania 7