Waebrania 7:13
Waebrania 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa juu yake, alikuwa wa kabila lingine, na wala hakuna hata mmoja wa kabila lake aliyepata kutumikia madhabahuni akiwa kuhani.
Shirikisha
Soma Waebrania 7Waebrania 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana yeye aliyenenwa hayo alikuwa mshirika wa kabila nyingine, ambayo hapana mtu wa kabila hilo aliyeihudumia madhabahu.
Shirikisha
Soma Waebrania 7