Waebrania 3:8-9
Waebrania 3:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani. Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!
Shirikisha
Soma Waebrania 3Waebrania 3:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msifanye mioyo yenu kuwa migumu, Kama wakati wa kuasi, Siku ya kujaribiwa katika jangwa, Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arubaini.
Shirikisha
Soma Waebrania 3