Waebrania 3:7-8
Waebrania 3:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.
Shirikisha
Soma Waebrania 3Waebrania 3:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mkisikia sauti yake, Msifanye mioyo yenu kuwa migumu, Kama wakati wa kuasi, Siku ya kujaribiwa katika jangwa
Shirikisha
Soma Waebrania 3