Waebrania 12:4 - Compare All Versions
Waebrania 12:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Maana katika kupambana na dhambi, nyinyi hamjapigana mpaka kiasi cha kumwaga damu yenu.
Shirikisha
Waebrania 12 BHNWaebrania 12:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hamjafanya vita hata kumwagika damu, mkishindana na dhambi
Shirikisha
Waebrania 12 SRUVWaebrania 12:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamjafanya vita hata kumwagika damu, mkishindana na dhambi
Shirikisha
Waebrania 12 SUVWaebrania 12:4 NEN (Neno)
Katika kushindana kwenu dhidi ya dhambi, bado hamjapigana kiasi cha kumwaga damu yenu.
Shirikisha
Waebrania 12 NEN