Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 12:23 - Compare All Versions

Waebrania 12:23 BHN (Biblia Habari Njema)

Mmefika kwenye kusanyiko kubwa la wazaliwa wa kwanza wa Mungu, ambao majina yao yameandikwa mbinguni. Mnasimama mbele ya Mungu aliye hakimu wa wote, na mbele ya roho za watu waadilifu waliofanywa wakamilifu.

Waebrania 12:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika

Waebrania 12:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika

Waebrania 12:23 NEN (Neno)

kwenye kanisa la wazaliwa wa kwanza wa Mungu, ambao majina yao yameandikwa mbinguni. Mmekuja kwa Mungu, mhukumu wa watu wote, kwenye roho za wenye haki waliokamilishwa