Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 12:19 - Compare All Versions

Waebrania 12:19 BHN (Biblia Habari Njema)

mvumo wa tarumbeta na sauti ya maneno. Wale waliosikia sauti hiyo waliomba wasisikie tena neno lingine

Waebrania 12:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)

na mlio wa baragumu na sauti ya maneno; ambayo wale walioisikia walisihi wasiambiwe neno lolote lingine

Waebrania 12:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

na mlio wa baragumu na sauti ya maneno; ambayo wale walioisikia walisihi wasiambiwe neno lo lote lingine

Waebrania 12:19 NEN (Neno)

kwenye mlio wa tarumbeta, au kwenye sauti isemayo maneno ya kutisha kiasi ambacho wale walioisikia waliomba wasiambiwe neno jingine zaidi