Waebrania 12:18
Waebrania 12:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi hamkuwasili mlimani Sinai, ambao unaweza kushikika kama walivyofanya watu wa Israeli; hamkufika kwenye moto uwakao, penye giza, tufani
Shirikisha
Soma Waebrania 12Waebrania 12:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana hamkufikia mlima uwezao kuguswa, uliowaka moto, wala wingu jeusi, na giza, na tufani
Shirikisha
Soma Waebrania 12