Habakuki 3:19
Habakuki 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana, Mwenyezi-Mungu ndiye nguvu yangu, huiimarisha miguu yangu kama ya paa, huniwezesha kupita juu milimani.
Shirikisha
Soma Habakuki 3Habakuki 3:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
MUNGU, aliye BWANA, ni nguvu zangu, Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu, Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka.
Shirikisha
Soma Habakuki 3