Habakuki 3:1-2
Habakuki 3:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sala ya nabii Habakuki. Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa; Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka; Katikati ya miaka tangaza habari yake; Katika ghadhabu kumbuka rehema.
Shirikisha
Soma Habakuki 3Habakuki 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Sala ya nabii Habakuki: Ee Mwenyezi-Mungu, nimesikia juu ya fahari yako, juu ya matendo yako, nami naogopa. Uyafanye tena mambo hayo wakati wetu; uyafanye yajulikane wakati huu wetu. Ukasirikapo tafadhali ukumbuke huruma yako!
Shirikisha
Soma Habakuki 3Habakuki 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sala ya nabii Habakuki. Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa; Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka; Katikati ya miaka tangaza habari yake; Katika ghadhabu kumbuka rehema.
Shirikisha
Soma Habakuki 3