Habakuki 2:9
Habakuki 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ole wako unayejitajirisha kwa hasara ya mwingine, ujengaye nyumba yako juu milimani ukidhani kuwa salama mbali na madhara.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wake yeye aipatiaye nyumba yake mapato mabaya, ili apate kukiweka kiota chake juu, apate kujiepusha na mkono wa uovu!
Shirikisha
Soma Habakuki 2