Habakuki 2:8
Habakuki 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe umeyapora mataifa mengi, lakini wote wanaosalimika watakupora wewe, kwa mauaji na dhuluma uliyoitendea dunia, naam, uliyoifanyia miji na wakazi wake wote.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu umeteka nyara mataifa mengi, mabaki yote ya kabila watakuteka wewe; kwa sababu ya damu ya watu, na kwa sababu ya udhalimu iliotendwa nchi hii, na mji huu, na watu wote wanaokaa ndani yake.
Shirikisha
Soma Habakuki 2