Habakuki 2:7
Habakuki 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja wadeni wako watainuka ghafla, wale wanaokutetemesha wataamka. Ndipo utakuwa mateka wao.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Hawatainuka ghafla wao watakaokuuma, hawataamka wao watakaokusumbua, nawe utakuwa mateka kwao?
Shirikisha
Soma Habakuki 2