Habakuki 2:6
Habakuki 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mtu atamdhihaki mtu wa namna hiyo na kumtungia misemo ya dhihaka: “Ole wako unayejirundikia visivyo vyako, na kuchukua rehani mali za watu lakini hulipi! Utaendelea kufanya hivyo hadi lini?
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Hawa wote hawatapiga mfano juu yake, na mithali ya kusimanga juu yake, wakisema, Ole wake yeye aongezaye kisicho mali yake! Hata lini? Na ole wake yeye ajitwikaye mzigo wa rehani!
Shirikisha
Soma Habakuki 2