Habakuki 2:2
Habakuki 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Mwenyezi-Mungu akanijibu hivi: “Yaandike maono haya; yaandike wazi juu ya vibao, anayepitia hapo apate kuyasoma.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.
Shirikisha
Soma Habakuki 2