Habakuki 2:15
Habakuki 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wako unayewalewesha jirani zako, na kutia sumu katika divai yao ili upate kuwaona wamekaa uchi.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
Shirikisha
Soma Habakuki 2