Habakuki 2:13-14
Habakuki 2:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi husababisha juhudi za watu zipotelee motoni, na mataifa yajishughulishe bure. Utukufu wa Mwenyezi-Mungu utaenea pote duniani, kama vile maji yaeneavyo baharini.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni; je! Jambo hili halikutoka kwa BWANA wa majeshi, kwamba watu wajishughulikie moto, na mataifa wajisumbue kwa ajili ya ubatili? Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Angalieni; je! Jambo hili halikutoka kwa BWANA wa majeshi, kwamba watu wajishughulikie moto, na mataifa wajisumbue kwa ajili ya ubatili? Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Shirikisha
Soma Habakuki 2