Habakuki 2:13
Habakuki 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi husababisha juhudi za watu zipotelee motoni, na mataifa yajishughulishe bure.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni; je! Jambo hili halikutoka kwa BWANA wa majeshi, kwamba watu wajishughulikie moto, na mataifa wajisumbue kwa ajili ya ubatili?
Shirikisha
Soma Habakuki 2