Habakuki 2:10
Habakuki 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwa mipango yako umeiaibisha jamaa yako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi, umeyaangamiza maisha yako mwenyewe.
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe umeifanyia nyumba yako kusudi la aibu, kwa kukatilia mbali watu wengi, nawe umetenda dhambi juu ya roho yako.
Shirikisha
Soma Habakuki 2