Habakuki 2:1
Habakuki 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitasimama mahali pa kuchungulia, na kukaa juu mnarani; nitakaa macho nione ataniambia nini, atajibu nini kuhusu lalamiko langu.”
Shirikisha
Soma Habakuki 2Habakuki 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi nitasimama katika zamu yangu, nitajiweka juu ya mnara, nitaangalia ili nione atakaloniambia, na jinsi nitakavyojibu kuhusu kulalamika kwangu.
Shirikisha
Soma Habakuki 2