Habakuki 1:13
Habakuki 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ni mtakatifu kabisa, huwezi kutazama uovu, huwezi kustahimili kamwe kuona mabaya. Mbona basi wawaona wafanya maovu na kunyamaza, kwa nini unanyamaza waovu wanapowamaliza wale watu walio waadilifu kuliko wao?
Shirikisha
Soma Habakuki 1Habakuki 1:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe usiyeweza kutazama ukaidi, mbona unawaangalia watendao kwa hila; na kunyamaza kimya, hapo mtu mwovu ammezapo mtu aliye mwenye haki kuliko yeye
Shirikisha
Soma Habakuki 1