Mwanzo 7:21
Mwanzo 7:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Viumbe wote hai katika nchi wakafa. Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama wa porini, makundi ya viumbe wote katika nchi kavu na wanadamu wote
Shirikisha
Soma Mwanzo 7Mwanzo 7:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakafa watu wote waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu
Shirikisha
Soma Mwanzo 7