Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:26 - Compare All Versions

Mwanzo 50:26 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Yosefu akafariki kule Misri, akiwa na umri wa miaka 110. Nao wakaupaka mwili wake dawa usioze, wakauweka katika jeneza kule Misri.

Shirikisha
Mwanzo 50 BHN

Mwanzo 50:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia moja na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.

Shirikisha
Mwanzo 50 SRUV

Mwanzo 50:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.

Shirikisha
Mwanzo 50 SUV

Mwanzo 50:26 NEN (Neno)

Kwa hiyo Yusufu akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi. Baada ya kumtia dawa asioze, akawekwa kwenye jeneza huko Misri.

Shirikisha
Mwanzo 50 NEN