Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 50:24 - Compare All Versions

Mwanzo 50:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Baadaye Yosefu aliwaambia ndugu zake, “Mimi sasa ninakaribia kufa. Lakini Mungu hakika atawajia kuwasaidia. Atawatoa katika nchi hii na kuwapelekeni katika nchi aliyowaapia Abrahamu, Isaka na Yakobo.”

Shirikisha
Mwanzo 50 BHN

Mwanzo 50:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ninakufa, lakini Mungu atawajia ninyi bila shaka, atawapandisha toka nchi hii, mpaka nchi aliyowaapia Abrahamu, na Isaka, na Yakobo.

Shirikisha
Mwanzo 50 SRUV

Mwanzo 50:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Yusufu akawaambia nduguze, Mimi ninakufa, lakini Mungu atawajia ninyi bila shaka, atawapandisha toka nchi hii, mpaka nchi aliyowaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo.

Shirikisha
Mwanzo 50 SUV

Mwanzo 50:24 NEN (Neno)

Ndipo Yusufu akawaambia ndugu zake, “Mimi ninakaribia kufa. Lakini kwa hakika Mungu atawasaidia na kuwachukueni kutoka nchi hii na kuwapeleka katika nchi aliyomwahidi kwa kiapo Abrahamu, Isaka na Yakobo.”

Shirikisha
Mwanzo 50 NEN