Mwanzo 5:4
Mwanzo 5:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kumzaa Sethi, Adamu aliishi miaka 800, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Shirikisha
Soma Mwanzo 5Mwanzo 5:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Shirikisha
Soma Mwanzo 5