Mwanzo 5:3
Mwanzo 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Adamu alipokuwa na umri wa miaka 130, alipata mtoto aliyefanana naye, na mwenye sura kama yake; akamwita Sethi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 5Mwanzo 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adamu akaishi miaka mia moja na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 5