Mwanzo 49:9
Mwanzo 49:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wewe Yuda, mwanangu, ni kama mwanasimba ambaye amepata mawindo yake akapanda juu. Kama simba hujinyosha na kulala chini; simba mwenye nguvu, nani athubutuye kumwamsha?
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda ni mwanasimba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakayemwamsha?
Shirikisha
Soma Mwanzo 49