Mwanzo 49:8
Mwanzo 49:8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wewe Yuda, ndugu zako watakusifu. Adui zako utawakaba shingo; na ndugu zako watainama mbele yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49