Mwanzo 49:3
Mwanzo 49:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wewe Reubeni ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu yangu na tunda la ujana wangu. Wewe wawapita ndugu zako kwa ukuu na nguvu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Reubeni, u mzaliwa wangu wa kwanza, Nguvu zangu, na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na kwa nguvu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49