Mwanzo 48:3
Mwanzo 48:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 48Mwanzo 48:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki
Shirikisha
Soma Mwanzo 48